Posts

Habari mpya

Ole wao wanaofanya biashara ya madawa ya kulevya na wanaoibia watalii Zanzibar

Jeshi la Polisi nchini limesema Operesheni ya kukabiliana na mtandao wa dawa za kulevya katika Visiwa vya Zanzibar itaendelea sambamba na kuwadhibiti wahalifu wanaofanya vitendo vya kuwaibia na kuwadhuru watalii jambo ambalo linatia doa usalama uliopo katika visiwa hivyo. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Operesheni maalum za Polisi, Naibu Kamishna wa Polisi DCP Liberatus Sabas ambaye yupo Zanzibar akiongoza timu iliyoundwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini pamoja na Kamisheni ya Polisi Zanzibar kwa lengo la kuongeza nguvu katika kuzuia na kupambana na mtandao wa dawa za kulevya pamoja na uhalifu dhidi ya watalii. DCP Sabas amesema Operesheni hiyo haitawaacha wahalifu hao salama kwa kuwa inafanyika kwa umakini mkubwa ili kuhakikisha kuwa haiachi mhalifu yeyote anayejihusisha na vitendo hivyo viovu ambavyo vimekuwa vikichafua taswira nzuri ya usalama. “Operesheni hii ni endelevu na niwape tu salamu wahalifu kuwa jambo la msingi ni wao wenyewe kujisalimisha kwa kuwa awamu hii hata wakikimbia…

Kadinali Pengo: "Wewe Askofu umejuaje siasa wakati kazi yako sio siasa?"

Vijana watatu mbaroni kwa kubaka na kuonyesha moja kwa moja kupitia Facebook

Picha: Rais Magufuli na mkewe wakiwa katika ibada kanisani

Maalim Seif asema Lipumba siye mkweli kwani yeye ndiye alompokea Lowassa UKAWA

Jamhuri Kiwelu: "Huwezi kusema Simba wanaweza kuwa mabingwa ingawa wana timu nzuri"

Maelfu waandamana kuunga mkono sheria kali za umiliki silaha Marekani

Mo Dewji na uongozi kulipa milioni 10 kwa mechi ambayo Simba itashinda katika mechi zao zilizobaki

Tulia Ackson: "Sina hakika kama 'Mange Kimambi' ni binadamu wa kawaida kama mimi"

Heche: " Polisi ni kama wametuhukumu kifungo cha nje, kila baada ya siku mbili wanataka turipoti Polisi"

Rais wa Zimbabwe Mnangagwa aachia huru wafungwa 3000 kupunguza mafuriko ya wafungwa gerezani

Mwanamke aliyedhalilishwa wakati wa kujifungua Bungoma Kenya kulipwa fidia ya $25,000

Amber Lulu: "Baba yangu alinitelekeza kanitafuta kwa sababu anataka hela, ukweli simpendi baba yangu"

Dereva ashindwa kulimudu gari katika mteremko na kusababisha vifo vya watu saba

Prof Lipumba: "Tunaunga mkono ukusanyaji wa kodi, lakini utekelezaji wake uzingatie hali halisi"

khadija Kopa: "Sijaolewa ila sitaki kusomesha tuition, nataka mwanaume aliyekuwa na umri kuanzia 40 kwenda juu"

Hatimae nchi 44 zatia saini mkataba wa biashara huria barani Afrika

Trump akutana na mwana wa Mfalme wa Saudi Arabia

TCRA na waziri Harrison Mwakyembe wamjia juu Diamond kwa kauli zake

Ushambuliwaji wa afisa wa ubalozi wa Syria polisi wamshikilia dereva, alihusika kwenye njama

Kigali Rwanda: Viongozi wa Afrika kutia saini mkataba wa biashara huria